Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Marko 13:30 - Swahili Revised Union Version Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Biblia Habari Njema - BHND Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Neno: Bibilia Takatifu Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Neno: Maandiko Matakatifu Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie. |
Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Akawaambia, Amin, nawaambia, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapouona ufalme wa Mungu umekuja kwa nguvu.