Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao wauzao njiwa;
Marko 11:16 - Swahili Revised Union Version wala hakumruhusu mtu yeyote kupitia katika hekalu akiwa amebeba kitu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Biblia Habari Njema - BHND Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Neno: Bibilia Takatifu wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu. Neno: Maandiko Matakatifu wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu. BIBLIA KISWAHILI wala hakumruhusu mtu yeyote kupitia katika hekalu akiwa amebeba kitu. |
Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao wauzao njiwa;
Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.