Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi.
Marko 10:3 - Swahili Revised Union Version Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawajibu, “Mose aliwapa maagizo gani?” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawajibu, “Mose aliwapa maagizo gani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawajibu, “Mose aliwapa maagizo gani?” Neno: Bibilia Takatifu Isa akawajibu, “Je, Musa aliwaamuru nini?” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawajibu, “Je, Musa aliwaamuru nini?” BIBLIA KISWAHILI Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini? |
Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi.
Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamwuliza, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu.
Na tazama, mwanasheria mmoja alisimama amjaribu; akisema, Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?
Mnayachunguza maandiko kwa sababu mnadhani kuwa ndani yake ninyi mna uzima wa milele; na maandiko yayo hayo ndiyo yanayonishuhudia.