Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.
Marko 1:33 - Swahili Revised Union Version Na mji wote ulikuwa umekusanyika mlangoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango. Neno: Bibilia Takatifu Mji wote ukakusanyika mbele ya nyumba hiyo. Neno: Maandiko Matakatifu Mji wote ukakusanyika mbele ya nyumba hiyo. BIBLIA KISWAHILI Na mji wote ulikuwa umekusanyika mlangoni. |
Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.
Akaponya wengi waliokuwa na maradhi mbalimbali, akatoa pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.
Wakamwendea nchi yote ya Yudea, nao wa Yerusalemu wote, wakabatizwa katika mto wa Yordani, wakiziungama dhambi zao.
Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.