Tena itakuwa, wavuvi watasimama karibu nao; toka Engedi mpaka En-eglaimu, patakuwa ni mahali pa kutandazia nyavu; samaki wao watakuwa namna zao mbalimbali, kama samaki wa bahari kubwa, wengi sana.
Marko 1:17 - Swahili Revised Union Version Yesu akawaambia, Njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akawaambia, Njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. |
Tena itakuwa, wavuvi watasimama karibu nao; toka Engedi mpaka En-eglaimu, patakuwa ni mahali pa kutandazia nyavu; samaki wao watakuwa namna zao mbalimbali, kama samaki wa bahari kubwa, wengi sana.
Naye alipokuwa akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simoni na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.
na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.