Maombolezo 3:9 - Swahili Revised Union Version Ameziziba njia zangu kwa mawe yaliyochongwa; Ameyapotosha mapito yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa amevipotosha vichochoro vyangu. Biblia Habari Njema - BHND Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa amevipotosha vichochoro vyangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa amevipotosha vichochoro vyangu. Neno: Bibilia Takatifu Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, amepotosha njia zangu. Neno: Maandiko Matakatifu Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, amepotosha njia zangu. BIBLIA KISWAHILI Ameziziba njia zangu kwa mawe yaliyochongwa; Ameyapotosha mapito yangu. |
na pumzi yake ni kijito kifurikacho, kifikacho hata shingoni, kupepeta mataifa kwa ungo wa ubatili; na lijamu ikoseshayo itakuwa katika taya za watu.
Ee BWANA, mbona umetukosesha njia zako, ukatufanya kuwa na mioyo migumu hata tusikuogope? Urudi kwa ajili ya watumishi wako, makabila ya urithi wako.
Basi kwa ajili ya hayo, angalia, nitaiziba njia yako kwa miiba, nami nitafanya kitalu juu yake, asipate kuyaona mapito yake.