Na BWANA akaufanya moyo wake Farao mfalme wa Misri kuwa mgumu, naye akawafuata wana wa Israeli; kwa sababu wana wa Israeli walitoka kwa jeuri.
Maombolezo 3:65 - Swahili Revised Union Version Utawapa ushupavu wa moyo; Laana yako juu yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uipumbaze mioyo yao, na laana yako iwashukie. Biblia Habari Njema - BHND Uipumbaze mioyo yao, na laana yako iwashukie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uipumbaze mioyo yao, na laana yako iwashukie. Neno: Bibilia Takatifu Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao! Neno: Maandiko Matakatifu Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao! BIBLIA KISWAHILI Utawapa ushupavu wa moyo; Laana yako juu yao. |
Na BWANA akaufanya moyo wake Farao mfalme wa Misri kuwa mgumu, naye akawafuata wana wa Israeli; kwa sababu wana wa Israeli walitoka kwa jeuri.
Zifanye akili za watu hawa zipumbae, na uyatie uzito masikio yao, na uyafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.
Lakini Sihoni mfalme wa Heshboni hakutuacha kupitia kwake; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, alifanya roho yake kuwa ngumu, akamtia ukaidi moyoni mwake, apate kumtia mkononi mwako kama alivyo hivi leo.