Maombolezo 3:34 - Swahili Revised Union Version Wafungwa wote wa duniani Kupondwa chini kwa miguu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafungwa wote nchini wanapodhulumiwa na kupondwa; Biblia Habari Njema - BHND Wafungwa wote nchini wanapodhulumiwa na kupondwa; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafungwa wote nchini wanapodhulumiwa na kupondwa; Neno: Bibilia Takatifu Kuwaponda chini ya nyayo wafungwa wote katika nchi, Neno: Maandiko Matakatifu Kuwaponda chini ya nyayo wafungwa wote katika nchi, BIBLIA KISWAHILI Wafungwa wote wa duniani Kupondwa chini kwa miguu, |
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa.
Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
kuwaambia waliofungwa, Haya, tokeni; na hao walio katika giza, Jionesheni. Watajilisha katika njia, na juu ya majabali watapata malisho.
Israeli ni kondoo aliyetawanywa; simba wamemfukuzia mbali; kwanza mfalme wa Ashuru amemla, na mwisho Nebukadneza huyu, mfalme wa Babeli, amemvunja mifupa yake.