Yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.
Maombolezo 3:33 - Swahili Revised Union Version Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye hapendelei kuwatesa wala kuwahuzunisha wanadamu. Biblia Habari Njema - BHND Yeye hapendelei kuwatesa wala kuwahuzunisha wanadamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye hapendelei kuwatesa wala kuwahuzunisha wanadamu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu. BIBLIA KISWAHILI Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha. |
Yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.
Maana BWANA ataondoka kama vile katika mlima Perasimu, ataghadhibika kama vile katika bonde la Gibeoni; apate kufanya kazi yake, kazi yake ya ajabu; na kulitimiza tendo lake, tendo lake la ajabu.
Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?