Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Luka 8:19 - Swahili Revised Union Version Ndipo mama yake na ndugu zake wakamwendea, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Biblia Habari Njema - BHND Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Neno: Bibilia Takatifu Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu. BIBLIA KISWAHILI Ndipo mama yake na ndugu zake wakamwendea, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano. |
Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Akaletewa habari akiambiwa, Mama yako na ndugu zako wamesimama nje wakitaka kuonana nawe.