Luka 7:23 - Swahili Revised Union Version Naye heri mtu yeyote asiyechukizwa nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Biblia Habari Njema - BHND Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Neno: Bibilia Takatifu Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.” Neno: Maandiko Matakatifu Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.” BIBLIA KISWAHILI Naye heri mtu yeyote asiyechukizwa nami. |
Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli, na kuwa ishara itakayonenewa.
Ndipo alipojibu, akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana hayo mliyoyaona na kuyasikia; vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Basi, wajumbe wa Yohana walipokwisha ondoka, alianza kuwaambia makutano habari za Yohana, Mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.