Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaipiga kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.
Luka 7:1 - Swahili Revised Union Version Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote kwa watu waliokuwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote watu wakiwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. BIBLIA KISWAHILI Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu. |
Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaipiga kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.