Luka 6:16 - Swahili Revised Union Version na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskarioti, ndiye aliyekuwa msaliti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti. Biblia Habari Njema - BHND Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti. Neno: Bibilia Takatifu Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote, aliyekuwa msaliti. Neno: Maandiko Matakatifu Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote ambaye alikuwa msaliti. BIBLIA KISWAHILI na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskarioti, ndiye aliyekuwa msaliti. |
na Andrea, na Filipo, na Bartholomayo, na Mathayo, na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Thadayo, na Simoni Mkananayo,
Akashuka pamoja nao, akasimama mahali tambarare, pamoja na wanafunzi wake wengi, na makutano makubwa ya watu waliotoka Yudea wote na Yerusalemu, na pwani ya Tiro na Sidoni; waliokuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao;
Yuda (siye Iskarioti), akamwambia, Bwana, imekuwaje ya kwamba wataka kujidhihirisha kwetu, wala si kwa ulimwengu?
ashike mahali katika huduma hii na utume huu, alioukosa Yuda, aende zake mahali pake mwenyewe.
Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo.