Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na watu wote watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
Luka 3:6 - Swahili Revised Union Version Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na, watu wote watauona wokovu aletao Mungu.’” Biblia Habari Njema - BHND Na, watu wote watauona wokovu aletao Mungu.’” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na, watu wote watauona wokovu aletao Mungu.’” Neno: Bibilia Takatifu Nao watu wote watauona wokovu wa Mungu.’” Neno: Maandiko Matakatifu Nao watu wote watauona wokovu wa Mungu.’ ” BIBLIA KISWAHILI Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu. |
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na watu wote watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuyainua makabila ya Yakobo, na kuwarejesha watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
BWANA ameweka wazi mkono wake mtakatifu Machoni pa mataifa yote; Na ncha zote za dunia Zitauona wokovu wa Mungu wetu.
Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Mgiriki; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye ukarimu mwingi kwa wote wamwitao;
Lakini nasema, Je! Wao hawakusikia? Naam, wamesikia, Sauti yao imeenea duniani kote, Na maneno yao hadi katika miisho ya ulimwengu.