na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Luka 24:53 - Swahili Revised Union Version Nao daima walikuwa ndani ya hekalu, wakimsifu Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Amen. BIBLIA KISWAHILI Nao daima walikuwa ndani ya hekalu, wakimsifu Mungu. |
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Nao wale wakatoka, wakahubiri kotekote, Bwana akitenda kazi pamoja nao, na kulithibitisha lile neno kwa ishara zilizofuatana nalo.]