wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai.
Luka 24:22 - Swahili Revised Union Version tena, wanawake kadhaa wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Biblia Habari Njema - BHND Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Neno: Bibilia Takatifu Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walienda kaburini leo alfajiri, Neno: Maandiko Matakatifu Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walikwenda kaburini leo alfajiri, BIBLIA KISWAHILI tena, wanawake kadhaa wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema, |
wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai.
Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.