Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.
Luka 22:9 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Wataka tuandae wapi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?” Biblia Habari Njema - BHND Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?” Neno: Bibilia Takatifu Wakamuuliza, “Unataka tukuandalie wapi?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamuuliza, “Unataka tukuandalie wapi?” BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Wataka tuandae wapi? |
Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.
Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini mtakutana na mwanamume akiwa amebeba mtungi wa maji; mfuateni mkaingie katika nyumba atakayoingia yeye.