Luka 21:13 - Swahili Revised Union Version Na hayo yatakuwa ushuhuda kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mpate kunishuhudia kwao. Biblia Habari Njema - BHND mpate kunishuhudia kwao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mpate kunishuhudia kwao. Neno: Bibilia Takatifu Hii itawapa nafasi ya kushuhudia. Neno: Maandiko Matakatifu Hii itawapa nafasi ya kushuhudia. BIBLIA KISWAHILI Na hayo yatakuwa ushuhuda kwenu. |
Lakini, ndugu zangu, nataka mjue ya kuwa mambo yote yaliyonipata yametokea zaidi kwa kuieneza Injili;
wala hamwaogopi adui zenu, katika neno lolote; kwao hao ni ishara thabiti ya kuangamizwa, bali kwenu ninyi ni ishara ya wokovu, huo utokao kwa Mungu.
Ndiyo ishara hasa ya hukumu iliyo haki ya Mungu, ili mhesabiwe kuwa mwastahili kuuingia ufalme wa Mungu, ambao kwa ajili yake mnateswa.