Naye mtu yeyote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Luka 20:34 - Swahili Revised Union Version Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa; Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa; Neno: Bibilia Takatifu Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa. BIBLIA KISWAHILI Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; |
Naye mtu yeyote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Yule bwana akamsifu wakili asiyemwaminifu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.
Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.