Luka 20:31 - Swahili Revised Union Version hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba – wote walikufa bila kuacha watoto. Biblia Habari Njema - BHND na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba – wote walikufa bila kuacha watoto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba — wote walikufa bila kuacha watoto. Neno: Bibilia Takatifu naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. Neno: Maandiko Matakatifu naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. BIBLIA KISWAHILI hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto. |