Nao wakadhani ya kuwa yumo katika msafara; wakaenda mwendo wa kutwa, wakawa wakimtafuta katika jamaa zao na wenzao;
Luka 2:45 - Swahili Revised Union Version na walipomkosa, wakarudi Yerusalemu, huku wakimtafuta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Biblia Habari Njema - BHND Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Neno: Bibilia Takatifu Walipomkosa walirudi Yerusalemu ili kumtafuta. Neno: Maandiko Matakatifu Walipomkosa walirudi Yerusalemu ili kumtafuta. BIBLIA KISWAHILI Walipomkosa, wakarudi Yerusalemu, huku wakimtafuta. |
Nao wakadhani ya kuwa yumo katika msafara; wakaenda mwendo wa kutwa, wakawa wakimtafuta katika jamaa zao na wenzao;
Ikawa baada ya siku tatu wakamwona hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali.