Luka 2:30 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta, Biblia Habari Njema - BHND Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta, Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako, |
naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuyainua makabila ya Yakobo, na kuwarejesha watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
BWANA ameweka wazi mkono wake mtakatifu Machoni pa mataifa yote; Na ncha zote za dunia Zitauona wokovu wa Mungu wetu.
Basi ijulikane kwenu ya kwamba wokovu huu wa Mungu umepelekwa kwa Mataifa, nao watasikia! [