Basi, kwa kuwa wana wa Yonadabu, mwana wa Rekabu, wameitimiza amri ya baba yao aliyowaamuru, lakini watu hawa hawakunisikiliza mimi;
Luka 15:11 - Swahili Revised Union Version Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume. Neno: Bibilia Takatifu Isa akaendelea kusema: “Kulikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akaendelea kusema: “Kulikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili. BIBLIA KISWAHILI Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; |
Basi, kwa kuwa wana wa Yonadabu, mwana wa Rekabu, wameitimiza amri ya baba yao aliyowaamuru, lakini watu hawa hawakunisikiliza mimi;
Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali iliyo uridhi wangu. Akawagawia mali yake.