Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,
Luka 13:20 - Swahili Revised Union Version Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini? Biblia Habari Njema - BHND Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini? Neno: Bibilia Takatifu Isa akauliza tena, “Nitaufananisha ufalme wa Mungu na nini? Neno: Maandiko Matakatifu Isa akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mwenyezi Mungu na nini? BIBLIA KISWAHILI Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu? |
Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,
Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika shamba lake;
Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachacha wote pia.