Ndipo nikaikata vipande viwili fimbo yangu ya pili, iitwayo Umoja, ili nipate kuuvunja udugu uliokuwa kati ya Yuda na Israeli.
Luka 12:51 - Swahili Revised Union Version Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo, bali mafarakano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Biblia Habari Njema - BHND Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Neno: Bibilia Takatifu Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. Neno: Maandiko Matakatifu Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. BIBLIA KISWAHILI Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo, bali mafarakano. |
Ndipo nikaikata vipande viwili fimbo yangu ya pili, iitwayo Umoja, ili nipate kuuvunja udugu uliokuwa kati ya Yuda na Israeli.
Kwa kuwa tokea sasa katika nyumba moja watakuwamo watu watano wamefarakana, watatu kwa wawili, wawili kwa watatu.