Luka 12:44 - Swahili Revised Union Version Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote. Biblia Habari Njema - BHND Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote. Neno: Bibilia Takatifu Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote. Neno: Maandiko Matakatifu Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote. BIBLIA KISWAHILI Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote. |
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
Lakini, mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja, akaanza kuwapiga watumwa wenzake, wanaume kwa wanawake, akila na kunywa na kulewa;
Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri, na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya uchi wako isionekane, na dawa ya macho ya kujipaka macho yako, upate kuona.