Luka 12:41 - Swahili Revised Union Version Petro akamwambia, Bwana, mfano huo umetuambia sisi tu, au watu wote pia? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?” Biblia Habari Njema - BHND Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?” BIBLIA KISWAHILI Petro akamwambia, Bwana, mfano huo umetuambia sisi tu, au watu wote pia? |
Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya bwana wake, asijiweke tayari, wala kuyatenda mapenzi yake, atapigwa sana.
Na yule asiyejua, naye amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo. Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi.
Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.