Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.
Luka 11:3 - Swahili Revised Union Version Utupe siku kwa siku riziki yetu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Biblia Habari Njema - BHND Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Neno: Bibilia Takatifu Utupatie kila siku riziki yetu. Neno: Maandiko Matakatifu Utupatie kila siku riziki yetu. BIBLIA KISWAHILI Utupe siku kwa siku riziki yetu. |
Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.
Huyu ndiye atakayekaa juu; majabali ni ngome yake; atapewa chakula chake; maji yake hayatakoma.
Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Maovu ya siku yanaitosha siku hiyo.
Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa hamu kuu, wakayachunguza Maandiko kila siku, ili waone kama mambo hayo ndivyo yalivyo.