Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Luka 11:11 - Swahili Revised Union Version Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki? Biblia Habari Njema - BHND Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki? Neno: Bibilia Takatifu “Je, kuna baba yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba samaki, atampa nyoka badala yake? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba samaki, atampa nyoka badala yake? BIBLIA KISWAHILI Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka? |
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.