Luka 1:4 - Swahili Revised Union Version upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Biblia Habari Njema - BHND ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Neno: Bibilia Takatifu ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa. Neno: Maandiko Matakatifu ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa. BIBLIA KISWAHILI upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa. |
Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini muwe na uzima kwa jina lake.
Mtu huyo alikuwa amefundishwa njia ya Bwana; na kwa kuwa roho yake ilikuwa ikimwaka, alianza kunena na kufundisha kwa bidii habari za Yesu; naye alijua ubatizo wa Yohana tu.
na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati,
lakini katika kanisa napenda kunena maneno matano kwa akili zangu, nipate kuwafundisha wengine, kuliko kunena maneno elfu kumi kwa lugha.