Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Kutoka 1:4 - Swahili Revised Union Version na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dani, Naftali, Gadi na Asheri. Biblia Habari Njema - BHND Dani, Naftali, Gadi na Asheri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dani, Naftali, Gadi na Asheri. Neno: Bibilia Takatifu Dani na Naftali, Gadi na Asheri. Neno: Maandiko Matakatifu Dani na Naftali, Gadi na Asheri. BIBLIA KISWAHILI na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri. |
Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Hao ndio wana wa Zilpa, ambaye Labani alimpa Lea, binti yake, naye akamzalia Yakobo hao, watu kumi na sita.
Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.