Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, Umetuzidishia ila masikio, Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Isaya 40:16 - Swahili Revised Union Version Lebanoni nao hautoshelezi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Biblia Habari Njema - BHND Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Neno: Bibilia Takatifu Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. Neno: Maandiko Matakatifu Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. BIBLIA KISWAHILI Lebanoni nao hautoshelezi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara. |
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, Umetuzidishia ila masikio, Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.