Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.
Isaya 22:19 - Swahili Revised Union Version Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu atakungoa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo. Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu atakungoa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu atakung'oa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo. Neno: Bibilia Takatifu Nitakuondoa kutoka kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako. Neno: Maandiko Matakatifu Nitakuondoa kutoka kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako. BIBLIA KISWAHILI Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo. |
Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.
Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA, nimenena, nami nimelitenda jambo hili.