Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, BWANA atakaa juu yake milele.
Isaya 2:14 - Swahili Revised Union Version na juu ya milima mirefu yote, na juu ya vilima vyote vilivyoinuka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema dhidi ya milima yote mirefu, dhidi ya vilima vyote vya juu; Biblia Habari Njema - BHND dhidi ya milima yote mirefu, dhidi ya vilima vyote vya juu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza dhidi ya milima yote mirefu, dhidi ya vilima vyote vya juu; Neno: Bibilia Takatifu kwa milima yote mirefu na vilima vyote vilivyoinuka, Neno: Maandiko Matakatifu kwa milima yote mirefu na vilima vyote vilivyoinuka, BIBLIA KISWAHILI na juu ya milima mirefu yote, na juu ya vilima vyote vilivyoinuka; |
Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, BWANA atakaa juu yake milele.
Na juu ya kila mlima mrefu, na juu ya kila kilima kilichoinuka, itakuwapo mito na vijito vya maji, katika siku ya machinjo makuu itakapoanguka minara.
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;