Nena na wana wa Israeli, kuwaambia, Mtu wa kwenu, au wa vizazi vyenu, yeyote atakayekuwa na unajisi kwa ajili ya maiti, au akiwako mbali katika safari, na haya yote, ataishika Pasaka kwa BWANA;
Hesabu 9:9 - Swahili Revised Union Version BWANA akanena na Musa, akamwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI BWANA akanena na Musa, akamwambia, |
Nena na wana wa Israeli, kuwaambia, Mtu wa kwenu, au wa vizazi vyenu, yeyote atakayekuwa na unajisi kwa ajili ya maiti, au akiwako mbali katika safari, na haya yote, ataishika Pasaka kwa BWANA;