Wakaliweka sanduku la Mungu juu ya gari jipya, wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu, iliyoko kilimani; nao Uza na Ahio wana wa Abinadabu wakaliendesha lile gari jipya.
Hesabu 7:4 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, |
Wakaliweka sanduku la Mungu juu ya gari jipya, wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu, iliyoko kilimani; nao Uza na Ahio wana wa Abinadabu wakaliendesha lile gari jipya.
nao wakamletea BWANA matoleo yao, magari sita yenye mafuniko juu, na ng'ombe kumi na wawili; gari moja kwa wakuu wawili wawili, na ng'ombe mmoja kwa kila mkuu; nao wakayasongeza hapo mbele ya maskani.
Pokea mikononi mwao, ili kwamba viwe vya kutumiwa katika utumishi wa hema ya kukutania; nawe utawapa Walawi vitu hivyo, kila mtu utampa kama utumishi wake ulivyo.