Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa mwana-kondoo; na kama hutaki kumkomboa, utamwua; na kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu katika wanao utamkomboa.
Hesabu 3:46 - Swahili Revised Union Version Tena kwa kuwakomboa hao watu mia mbili na sabini na watatu, wa hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli, ambao wamezidi ile hesabu ya Walawi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi, Biblia Habari Njema - BHND Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi, Neno: Bibilia Takatifu Ili kukomboa wazaliwa wa kwanza mia mbili na sabini na watatu (273) wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi, Neno: Maandiko Matakatifu Ili kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi, BIBLIA KISWAHILI Tena kwa kuwakomboa hao watu mia mbili na sabini na watatu, wa hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli, ambao wamezidi ile hesabu ya Walawi, |
Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa mwana-kondoo; na kama hutaki kumkomboa, utamwua; na kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu katika wanao utamkomboa.
basi ilikuwa hapo Farao alipojifanya kuwa mgumu ili asitupe ruhusa kuondoka, BWANA akawapiga wazaliwa wa kwanza wote waliokuwa katika nchi ya Misri, wa binadamu na wa mnyama; kwa ajili ya hayo namtolea BWANA wote wafunguao tumbo, wakiwa wa kiume; lakini wazaliwa wa kwanza wote wa wana wangu nawakomboa.