Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.
Hesabu 21:12 - Swahili Revised Union Version Kutoka huko wakasafiri, wakapanga katika bonde la Zeredi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka huko walisafiri wakapiga kambi yao katika bonde la Zeredi. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka huko walisafiri wakapiga kambi yao katika bonde la Zeredi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka huko walisafiri wakapiga kambi yao katika bonde la Zeredi. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi. BIBLIA KISWAHILI Kutoka huko wakasafiri, wakapanga katika bonde la Zeredi. |
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.
Ondokeni, mshike safari yenu, mvuke bonde la Arnoni; tazama, nimemtia Sihoni Mwamori mfalme wa Heshboni mkononi mwako, na nchi yake; anzeni kuimiliki, mshindane naye katika mapigano.