Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.
Hesabu 21:10 - Swahili Revised Union Version Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapiga kambi Obothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi. Biblia Habari Njema - BHND Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi. Neno: Bibilia Takatifu Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi. Neno: Maandiko Matakatifu Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi. BIBLIA KISWAHILI Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapiga kambi Obothi. |
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.