Hesabu 15:18 - Swahili Revised Union Version Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtakapoingia nchi niwapelekayo, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waisraeli kwamba wakati watakapoingia katika nchi ninayowapeleka Biblia Habari Njema - BHND Waisraeli kwamba wakati watakapoingia katika nchi ninayowapeleka Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waisraeli kwamba wakati watakapoingia katika nchi ninayowapeleka Neno: Bibilia Takatifu “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka, Neno: Maandiko Matakatifu “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka BIBLIA KISWAHILI Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtakapoingia nchi niwapelekayo, |
ndipo itakapokuwa ya kwamba kila mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsogezea BWANA sadaka ya kuinuliwa.
Tena malimbuko yakiwa matakatifu, kadhalika na donge lote; na shina likiwa takatifu, matawi nayo kadhalika.