Akawabariki siku ile akisema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na kama Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.
Hesabu 13:11 - Swahili Revised Union Version Katika kabila la Yusufu, yaani, katika kabila la Manase, Gadi mwana wa Susi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Yosefu (yaani kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kabila la Manase (kabila la Yusufu), Gadi mwana wa Susi; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kabila la Manase (kabila la Yusufu), Gadi mwana wa Susi; BIBLIA KISWAHILI Katika kabila la Yusufu, yaani, katika kabila la Manase, Gadi mwana wa Susi. |
Akawabariki siku ile akisema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na kama Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.