Hesabu 11:9 - Swahili Revised Union Version Umande ulipoiangukia kambi wakati wa usiku, hiyo mana ilianguka pamoja nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande). Biblia Habari Njema - BHND (Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, mana pia ilianguka pamoja na huo umande). Neno: Bibilia Takatifu Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao. Neno: Maandiko Matakatifu Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao. BIBLIA KISWAHILI Umande ulipoiangukia kambi wakati wa usiku, hiyo mana ilianguka pamoja nao. |
Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.
Watu wakazungukazunguka na kuikusanya, kisha wakaisaga kwa mawe ya kusagia, au kuitwanga katika vinu, kisha wakaitokosa vyunguni na kuandaa mikate; na ladha yake ilikuwa kama ladha ya mafuta mapya.
Mafundisho yangu yatadondoka kama mvua, Maneno yangu yatatona-tona kama umande; Kama manyunyu juu ya majani mabichi; Kama matone ya mvua juu ya mimea.