Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.
Filemoni 1:15 - Swahili Revised Union Version Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Biblia Habari Njema - BHND Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Neno: Bibilia Takatifu Huenda sababu ya Onesimo kutengwa nawe kwa muda ni ili uwe naye daima, Neno: Maandiko Matakatifu Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima. BIBLIA KISWAHILI Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele; |
Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.
Na mwenyeji wa nchi ya pwani atasema katika siku hiyo, Angalia, haya ndiyo yaliyowapata watu wale tuliowatumainia, ambao tuliwakimbilia watuokoe kutoka kwa mfalme wa Ashuru; na sisi je! Twawezaje kupona?