Na wana wa Hanania; Pelatia na Yeshaya; na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.
Ezra 8:5 - Swahili Revised Union Version Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300. Biblia Habari Njema - BHND Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume mia tatu; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu. |
Na wana wa Hanania; Pelatia na Yeshaya; na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.
Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili;