Watu wa Bethlehemu, mia moja ishirini na watatu.
Watu wa mji wa Bethlehemu: 123;
watu wa Bethlehemu, mia moja ishirini na watatu (123);
Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrata, ndio Bethlehemu.
Watu wa Gibari, tisini na watano.
Watu wa Netofa, hamsini na sita.
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe miongoni mwa watawala wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.