Katika nyakati za Ahasuero; Ahasuero aliyetawala mikoa mia moja ishirini na saba, kutoka India mpaka Kushi;
Danieli 6:1 - Swahili Revised Union Version Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme wakuu mia moja na ishirini, wawe juu ya ufalme wote; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Neno: Bibilia Takatifu Ilimpendeza Dario kuteua wakuu mia moja na ishirini kutawala katika ufalme wake wote, Neno: Maandiko Matakatifu Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote, Swahili Roehl Bible 1937 Kwa mapenzi yake Dario akaweka watawala nchi 120 wa kuuangalia ufalme, wakiwa po pote katika huo ufalme. |
Katika nyakati za Ahasuero; Ahasuero aliyetawala mikoa mia moja ishirini na saba, kutoka India mpaka Kushi;
Wekeni mataifa tayari juu yake, wafalme wa Wamedi, na watawala wake, na wakuu wake, na nchi yote ya mamlaka yake.
Kwa upande wangu, katika mwaka wa kwanza wa Dario, Mmedi, mimi nilisimama ili kumsaidia na kumtia nguvu.
Ndipo Nebukadneza akatuma watu kuwakusanya maamiri, wasimamizi, watawala, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na wakuu wa wilaya zote, ili wahudhurie wakati wa kuizindua ile sanamu, mfalme Nebukadneza aliyoisimamisha.
na juu yao akaweka wakubwa watatu, na Danieli alikuwa mmoja wao; ili wakuu hawa watoe hesabu kwao, mfalme asipate hasara.
Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahasuero, wa uzao wa Wamedi, aliyetawazwa kuwa mfalme juu ya milki ya Wakaldayo;
au iwe ni watawala, kama wanaotumwa naye ili kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema.