Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

2 Wakorintho 5:2 - Swahili Revised Union Version

Maana katika nyumba hii twaugua, tukitamani sana kuvikwa kao letu litokalo mbinguni;

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Katika hema hili twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Maana katika nyumba hii twaugua, tukitamani sana kuvikwa kao letu litokalo mbinguni;

Tazama sura
Tafsiri zingine

2 Wakorintho 5:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa.

Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

Wala si hivyo tu; ila na sisi wenyewe tulio na malimbuko ya Roho, sisi pia tunaugua katika nafsi zetu, tukikutazamia kufanywa wana, yaani, ukombozi wa mwili wetu.

Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,

Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana;