Kwa sababu hiyo, naandika haya nikiwa mbali nanyi, ili, nikija, nisiwe na ukali wa kadiri ya uwezo ule niliopewa na Bwana, kwa kujenga wala si kwa kubomoa.
2 Wakorintho 2:6 - Swahili Revised Union Version Yamtosha mtu wa namna hii adhabu ile aliyopewa na walio wengi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Adhabu aliyokwisha pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha. Biblia Habari Njema - BHND Adhabu aliyokwisha pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Adhabu aliyokwisha pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha. Neno: Bibilia Takatifu Adhabu hii aliyopewa na wengi inamtosha. Neno: Maandiko Matakatifu Adhabu hii aliyopewa na wengi inamtosha. BIBLIA KISWAHILI Yamtosha mtu wa namna hii adhabu ile aliyopewa na walio wengi; |
Kwa sababu hiyo, naandika haya nikiwa mbali nanyi, ili, nikija, nisiwe na ukali wa kadiri ya uwezo ule niliopewa na Bwana, kwa kujenga wala si kwa kubomoa.
Maana, angalieni, kuhuzunishwa kuko huko kwa jinsi ya Mungu kulitenda bidii gani ndani yenu; naam, na kujitetea, naam, na kukasirika, naam, na hofu, naam, na shauku, naam, na kujitahidi, naam, na kisasi! Kwa kila njia mmejionesha wenyewe kuwa safi katika jambo hilo.