Mwana wa Geberi katika Ramoth-gileadi; na kwake ilikuwa miji ya Yairi mwana wa Manase iliyomo Gileadi; na kwake ilikuwa wilaya ya Argobu, iliyomo Bashani, miji mikubwa sitini yenye kuta na makomeo ya shaba.
2 Wafalme 9:4 - Swahili Revised Union Version Basi yule kijana, yule nabii kijana, akaenda Ramoth-Gileadi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Nabii huyo kijana akaenda Ramothi Gileadi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Nabii huyo kijana akaenda Ramothi Gileadi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Nabii huyo kijana akaenda Ramothi Gileadi. Neno: Bibilia Takatifu Basi yule kijana nabii akaenda Ramoth-Gileadi. Neno: Maandiko Matakatifu Basi yule kijana nabii akaenda Ramoth-Gileadi. BIBLIA KISWAHILI Basi yule kijana, yule nabii kijana, akaenda Ramoth-Gileadi. |
Mwana wa Geberi katika Ramoth-gileadi; na kwake ilikuwa miji ya Yairi mwana wa Manase iliyomo Gileadi; na kwake ilikuwa wilaya ya Argobu, iliyomo Bashani, miji mikubwa sitini yenye kuta na makomeo ya shaba.
Nabii Elisha akamwita mmojawapo wa wana wa manabii, akamwambia, Jikaze viuno, ukachukue chupa hii ya mafuta mkononi mwako, ukaende Ramoth-Gileadi.
Naye alipofika, tazama, majemadari wa jeshi walikuwa wamekaa; naye akasema, Nimetumwa na neno kwako, Ee jemadari; Yehu akasema, Kwa yupi miongoni mwetu sote? Akasema, Kwako wewe, Ee jemadari.