2 Wafalme 15:3 - Swahili Revised Union Version Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama yote aliyoyafanya babaye Amazia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Biblia Habari Njema - BHND Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Neno: Bibilia Takatifu Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama Amazia baba yake alivyofanya. Neno: Maandiko Matakatifu Akatenda yaliyo mema machoni pa bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya. BIBLIA KISWAHILI Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama yote aliyoyafanya babaye Amazia. |
Alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na miwili huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.
Ila mahali pa juu hapakuondolewa, nao watu wakaendelea kutoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.
Uzia alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na miwili; na jina la mamaye aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.